
LEO nyasi za Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam zitawaka moto wakati watani wa jadi Yanga na Simba watakapoumana katika mchezo wa kuwania Ngao ya Jamii.
Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), limeweka utaratibu kuwa kabla ya kuanza kwa Ligi Kuu Tanzania Bara, bingwa wa msimu uliopita atacheza na mshindi wa pili, hivyo inakuwa kama ni ishara ya kuzindua msimu mpya wa ligi.
Simba iliibuka bingwa mwaka jana, wakati Yanga ilishika nafasi ya pili, hivyo timu hizo kujikuta zikipambana leo
No comments:
Post a Comment