Mahakama ya kadhi ni chombo cha sheria ya dini ya kiislam ambacho lengo lake ni kuamua migogoro ya kijamii kwa waumini wa Kiislam. Mzozo unatokea kwa hofu ya Wakristo kwamba mahakama hii ina lengo la kuleta sheria za kiislam kwenye jamii. Ukweli ni kwamba mahakama hii ni ya kesi zisizo za jinai na ni zile tu zinazohusiana na maadili na taratibu za Waislam. Mahakama hii ni ya hiari. Si kila muislam atalazimika kuhukumiwa na mahakama hii, bali kwa hiari yake!

ReplyDelete