Do, nilitamani niendelee na shule alikini vuup, somo likaishia. Lakini ilikuwa nzuri sana. Mimi naijua faida moja kubwa ya meditation ya Pumzi ni kuleta utulivu wa mwili na akili. Mtu anapomeditate, anapumua kwa kina (deep breathing) kwa kujazamafu nakutoa, na hii pekee, hufanya mwili kuchuka oxygen kwa wingi na mifumo mingine ya mwili inayotegemea oxygen infanya kwazi yake vizuri. viungo hivyo ni pamoja na Ubongo, Moyo, ini na vinginevyo vingi. Wakati huohuo, mtu anaifuatilia pumzu yako na hivyo kujiondoa kwanye mawazo yahayohangaika. Hii humlete huyu mtu utulivu wa akili (yaani relaxation) katika hali hiyo, tension mbalimbali zinozotkana na fikra au hisia kuondoka na kumwacha huyu mtu akiwa ana-utulivu (relaxed). Haiishii hapo. Mtu huyu anapatafursa ya kujua unapotuliza akili nini kinatokea. Kwa sababu hata kama angeambiwa vipi, mtu mbaye hajawahi kujaribu meditation ya Pumzi, hataweza kujua faida hizi nilizozizungumzia hapo juu. Kitu kikubwa kwa nayetaka kujua ukweli wahaya ninayosema ni kujaribu. Ni muhimu kuzingatia yafuatayo: (1) Tafuta mahali penye utlivu na private (2) Muda uwe wakutosha nikimaanisha, usiwe na haraka ya kutaka niondoke niwahi kitu kingine (3) Ni vizuri kuchagua mkao wa kukaa ambao tumbo litakuwa relaxed (ili upumue vizuri0 na mgongo unyooke (kwani hii ndiyo sii ya relaxation. Tafuta mzoefu akueleze(4)Kupumua kwa kina na kwa mpangilio (deep and even breathingi)(5) Mwisha kabisa, ni lazima umpate mwalimu wa kukufundisha na kufuatilia maendeleo. Sijawahi kuona mtu aliyepatia meditation siku ya kwanza. nilazima kuendele muda mrefu na ikiwezeka kila siku (consistently). Nadhani kuna faida nyingine au siyo jamani....
Do, nilitamani niendelee na shule alikini vuup, somo likaishia. Lakini ilikuwa nzuri sana. Mimi naijua faida moja kubwa ya meditation ya Pumzi ni kuleta utulivu wa mwili na akili. Mtu anapomeditate, anapumua kwa kina (deep breathing) kwa kujazamafu nakutoa, na hii pekee, hufanya mwili kuchuka oxygen kwa wingi na mifumo mingine ya mwili inayotegemea oxygen infanya kwazi yake vizuri. viungo hivyo ni pamoja na Ubongo, Moyo, ini na vinginevyo vingi. Wakati huohuo, mtu anaifuatilia pumzu yako na hivyo kujiondoa kwanye mawazo yahayohangaika. Hii humlete huyu mtu utulivu wa akili (yaani relaxation) katika hali hiyo, tension mbalimbali zinozotkana na fikra au hisia kuondoka na kumwacha huyu mtu akiwa ana-utulivu (relaxed). Haiishii hapo. Mtu huyu anapatafursa ya kujua unapotuliza akili nini kinatokea. Kwa sababu hata kama angeambiwa vipi, mtu mbaye hajawahi kujaribu meditation ya Pumzi, hataweza kujua faida hizi nilizozizungumzia hapo juu. Kitu kikubwa kwa nayetaka kujua ukweli wahaya ninayosema ni kujaribu. Ni muhimu kuzingatia yafuatayo: (1) Tafuta mahali penye utlivu na private (2) Muda uwe wakutosha nikimaanisha, usiwe na haraka ya kutaka niondoke niwahi kitu kingine (3) Ni vizuri kuchagua mkao wa kukaa ambao tumbo litakuwa relaxed (ili upumue vizuri0 na mgongo unyooke (kwani hii ndiyo sii ya relaxation. Tafuta mzoefu akueleze(4)Kupumua kwa kina na kwa mpangilio (deep and even breathingi)(5) Mwisha kabisa, ni lazima umpate mwalimu wa kukufundisha na kufuatilia maendeleo. Sijawahi kuona mtu aliyepatia meditation siku ya kwanza. nilazima kuendele muda mrefu na ikiwezeka kila siku (consistently).
ReplyDeleteNadhani kuna faida nyingine au siyo jamani....