Karibu ujumuike nasi.Lengo la blog hii ni Kujadiliana na kuelimishana mambo na maswala mbalimbali kuhusu jamii au yahusuyo Ulimwengu.
Tuesday, March 15, 2011
Video hii inaelezea jinsi athari zinazoweza kutokea tarehe 19, march 2011 wakati mwezi utakokuwa umeikaribia dunia kwa umbali wa takribani km 300,000. Kisayansi, kuna uvutano mkubwa utatokea kati ya mwezi na sayari Dunia na hivyo kusababisha mafuriko,volcano,na matetemeko ya ardhi.
0 comments:
Post a Comment