Thursday, July 8, 2010

Matumizi ya mishumaa!

Kila kitu kina maana na nguvu zake,
Matumizi ya mishumaa yamekuwapo zaidi ya miaka mingi.Unaweza kumbuka pengine ukiwa unafanya sherehe ya kuzaliwa.Mishumaa huwashwa na unaambiwa funga macho,na useme unachotaka (make a wish) na alafu uzime mishumaa yenye idadi sawa na miaka yako kwa kuipuliza.
Rangi za mishumaa na kazi zake
White: truth, purity
Red: love, health, sex, strength
Green: money, luck, fertility
Black: discord, evil, negativity, confusion
Brown: neutrality, uncertainty, hesitation
Pink: love, morality, honour
Purple: power, business progress, ambition
Orange: attraction, stimulation
Greenish Yellow: jealousy, anger, discord
Gray: neutrality, stalemate, negativity
Light Blue: tranquility, patience, health
Dark Blue: depression, changeability

5 comments:

  1. Hey, hii kwangu ni mafundisho mapya. Swali lagu kwako ni Je ukiwasha mshumaa wa rangi hiyo husika unavutia matokeo uliyoandika au ukitaka kuomba (sijui ni kunuia)au kusema unachotaka ndiyo unawasha mshumaa wa rangi hiyo. Sijui kama kuna mtu ataomba negativity, confusion and evil...enhe enhe enhe...

    ReplyDelete
  2. Ndio,kila mshumaa una nguvu yake na una uwasha kwa matokeo hayo yaliyo ainishwa mbele ya kila mshumaa na rangi yake. kwa mfano Ukiwasha mshumaa Green ambao una nguvu ya pesa,bahati etc . cha kufanya unakaaa mkao wa meditation (unaweza kwenda kwenye link ya OLD POST Chini kabisa ukaona jinsi ya kufanya meditation ya punzi),unahakikisha nia yako ipo sawa kabisa. Unaanza kunuia (make a wish). Kuanzia hapo utapata busara ambazo utabidi uzizingatie,labda utapata wazo la kuanzisha biashara Fulani ,ama utapata bahati ya kupata kitu au wazo la kukuongezea kipato kutoka kwa mtu au kwako mwenyewe,inabidi kufanyia kazi hayo matokeo ambayo utayapata baada ya kunuia kwenye aina ya mshumaa husika.

    ReplyDelete
  3. Kama nataka kumvuta mpnz niliegombana nae je?

    ReplyDelete
  4. Kama nataka kumvuta mpnz niliegombana nae je?

    ReplyDelete