Monday, July 5, 2010

Spirituality and Religion

Tunaomba maana halisi ya haya maneno kwa kiswahili na tofauti zake.

1 comment:

  1. Sprituality ni Utafiti wa Kiroho
    Dini ni Imani za kiroho

    Utafiti wa kiroho, unamfanya mtafiti kujua Ukweli kuhusu anachokitafuta (seekers of the truth)
    Imani za kuroho zinamfanya muumini kuwa mbumbumbu na kubakia akisadiki anachoambiwa.

    Moja intoa Uhuru (liberation), na nyingine ileta Utumwa (stagnation)
    (seeker of the truth)

    ReplyDelete